Kuhamia Nchi Nyingine

Hatua za maandalizi ya wakimbizi wanaohamia nchi nyingine

Resettlement – swahili

Kwenye kurasa hizi utapata maelezo kuhusu hatua za maandalizi zinazotolewa kwa wakimbizi wanaohamia nchi nyingine kabla hawajasafiri kwenda nchini Usiwi (Sweden).

Hatua za maandalizi zinapaswa kukusaidia ili ujihisi kuwa umejiandaa kwa shughuli iliyo mbele yako katika utaratibu wa kuhamia nchini nyingine unaofanyika nchini Uswidi (Sweden).

Bila kujali iwapo umeshiriki katika hatua za maandalizi au la, unaweza kutumia maelezo haya kama msaada wa kabla na baada ya kusafiri nchini Uswidi (Sweden).

Sveriges position i världen, norra europa

Hapa utapata sehemu mbalimbali za hatua zako za maandalizi

Kwa maelezo zaidi kuhusu jamii ya Uswidi, tembelea tovuti ya informationsverige.se (kwa Kiingereza) External link, opens in new window.