Taarifa kwa watoto na vijana

Information till barn och tonåringar – swahili

Kurasa hizi ni za watoto na vijana ambao wamekuja, au watakuja, kama wakimbizi wanaohamia nchini Uswidi. Hapa unaweza kusoma kuhusu jinsi maisha yanavyoweza kuwa kwa vijana huko Uswidi, haki za vijana na sheria maalum zilizopo za kuwalinda watoto.

Simulizi za Amina, Rolly na Solomon zimetoholewa kwa ajili ya watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na miwili. Maandishi yaliyobaki yalibadilishwa katika lugha na maudhui kwa vijana, kutoka umri wa miaka kumi na mitatu hadi kumi na minane.

Kwa watoto

Kwa vijana

Maneno ya kawaida

Kiarabu

Kiingereza

Kiswidi

Karibu

Welcome

Välkommen

Hujambo

Hello

Hej

Habari zako?

How are you?

Hur mår du?

Nzuri

I am fine

Jag mår bra

Asante

Thank you

Tack

Karibu

You are welcome

Varsågod

Tafadhali

Please

Snälla

Samahani

Sorry

Förlåt

Unaitwaje?

What is your name?

Vad heter du?

Jina langu ni …

My name is …

Jag heter …

Sielewi

I do not understand

Jag förstår inte

Sizungumzi Kiswidi

I do not speak Swedish

Jag pratar inte svenska

Kwaheri

Goodbye

Hej då

Last updated: